Sitaki

Published by Don Santo

0
  • 1 credits

This is a Swahili song done in GOMU style. JATELO's fusion of various african genres. Enjoy the message. LYRICS [VERSE 1] Utamu ya mapenzi mimi sijui ni nini? Anayejua, nipee nionje kiasi Uzuri wa mahaba anayejua ni nani? Asiyejua, akuje tulewe kiasi ……… Kama sifa twajisifu lakini hatujui ukweli Tungejua tungefiata ulimi Kama nyimbo za mapenzi, tunaimba kama daily Ukweli ni kwamba, wanawake ni kama gari Waingia ndani, wapiga starter inakataa Lakini mwengine yaja, aingia yaendesha vizuri Gari ni ile, Washangaa ni nini? Shida si dereva, shida si gari Shida ni nini? Eeeeeeeeeeeeeeeh [CHORUS] Sitaki maneno Sitaki vituko Sitaki … Sitaki … X2 [VERSE 2] Ndani ya mapenzi, unaeza kufa pressure Ama kwa mapenzi, uweze kunona sana Ndani ya mapenzi, waeza kufanikiwa Ama kwa mahaba, usote kupindukia ….. Hapa na surrender Hapa ninatoka Tubaki tu marafiki Jaribu mwengine, na mimi nijaribu Yule Sitaki vituko, sitaki maneno Sitaki drama mie eh Nataka amani Mbona tukosane kosane Kwa vitu vidogo dogo? Mbona tusielewane tuishi kwa amani? Mpenzi ……. [CHORUS] Sitaki maneno Sitaki vituko Sitaki … Sitaki … X2 #audio #Gomu #Kenya #Uganda #DonJRecords #Tanzania #Rwanda #Burundi

  • Comments (0)
  • Share/Embed
Other Projects:
    uniE603 The Presidante